Kutokana na mkutano wa nishati wa viongozi wa Afrika barabara zikafungwa, kazi zikasitishwa, wanafunzi wakasalia majumbani. Tukayaficha matatizo ya jiji la Dar es salaam kwa muda. Ingawa nayo ilituchoresha kwa kuonesha namna gani hatuna miundombinu ya kutosha hadi kusitisha baadhi ya huduma...