Ndani ya masaa 24 nimetumia dawa zote hizo hakuna nafuu niliyopata bado sikio la upande wa kulia linauma kichizi kama mtu ananichoma na msumari tena wa moto.
Siwezi kulala, siwezi kutembea hata umbali wa hatua kumi bila ya kukaa chini ndani ya muda mfupi nimeona dunia kama hell. Nimepita picha...