Issue ni kuwa binadamu wazima tunahisi njaa afu tunakula ili tuishi sasa hao ndugu zetu tajwa hapo juu wao wana pataje feelings kuwa wana njaa na wanahitaji kula?
Kwakuwa akili za ku sense hawana? au ndo tuite wanaji zima data afu wanajirudi kula then wana jizimisha data wana rudi hali hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.