Kutoolewa na wachumba wao, Ni kweli huwa wamo kwenye mahusiano lakini wanaume wanakwepa mno kuwaoa.
Kuchelewa kuolewa,
Ndoa kudumu muda mfupi, hapa mara nyingi sababu huwa ni mwanamke kutaka kuleta mambo ya usawa ule wa ulaya, mfano mwanaume ajipelekee maji ya kuoga bafuni, ajitengenezee chai...
Ikumbukwe, nimeanzisha nyuzi kadhaa kuhusu mimi na mke wangu mpaka ikafika hatua ya kumwachia nyumba (nyumba niliyojenga kabla ya kumuita na kumtafutia kazi). Uzi upo humu. Hata niliporudi, sikuwa nalala naye, ingawa hamu zilikuwepo. Tulipima, na alijuta, akijua kosa lake. Hata kama alikuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.