Tanzania imekuwa ni nchi iliojaa vituko toka kwa viongozi wasio na maono chanya yenye kuleta mabadiliko katika nyanja mbalimbali za kiuchumi. Sera nyingi zimekuwa zikikinzana na kuzua mijadala juu ya malengo yetu kama nchi ni yapi.
Serikali kupitia wizara ya kilimo ilisema itanunua mahindi...
Kazi ya kilimo ni kazi ngumu sana isiyo na staha tena yenye jina baya kwani hunasibishwa na umaskini, yenye karaha nyingi na risk factors za kutosha.
Mbaya sana ndiyo kazi inayoajiri zaidi ya 70% ya watanzania kwa uhakika. Hivyo kuchezea kilimo ni kuchezea maisha ya watanzania na kutotendea...
Waziri wa Kilimo muda huu akiwa anahutubia katika mkutano wa hadhara mkoani Manyara amesema kuwa Wakulima matatizo yao hayaondolewi kwa kuleta vitisho bali kwa uwezo wa kushirikiana nchi yetu itapiga hatua katika maendeleo ya kilimo kwa kuwa kilimo ni Biashara.
Bashe amesema kuwa hela...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.