Kwanini uhalifu hauwezi kuisha
Uhalifu ni koo kubwa ambayo kuna sehemu unafikia hata unayekemea au kuzibiti mfano Polisi, Jeshi, TAKUKURU, TISS, Selikali, viongozi, jirani, ndugu na n.k bado itajikuta nao wanausika kwenye uhalifu!
Uhalifu unaweza kugusa hata mkubwa yoyote na mdogo yoyote kama...