Sasa sijui ilikuwa ni Imani tu au lah!
Ukipoteza mifugo hasa porini unaweka mate kwenye kiganga Cha mkono Kisha unayachapa kwa kidole yanaruka yatakaporuka mengi ndo huko huko inaelekea.
Ili kuhakikisha unageuka pande mbili mashariki na kaskazini au kusini unarudia kila upande unachapa Mara...
Nimetimba kwenye ka liquor store flani mida ya saa 12 jioni nime wakuta majamaa watatu wamezungusha serengeti lite kaunta nzima, nikawapa hi alafu nikaongea na dada wa kaunta anipe valeur kubwa alafu kimyaaa. Muda huu imeisha hawa Majamaa wanabishana mambo ya ligi ya uingereza nimeagiza tena...
Ndugu zangu, majirani zangu, wana parokia wenzangu, na wanajumuiya wenzangu, ni wazi kuwa tunapitia changamoto nyingi zinazoweza kutufanya tuishi kwa kutetereka kiimani. Vishawishi vya dunia ya sasa vinatufanya kupoteza dira, huku tukishawishiwa kuamini kwamba suluhisho la changamoto zetu lipo...
Attracting a high-quality mate isn’t about luck or beauty – it’s about the behaviors you exhibit.
Certain actions can drive the right people away, while others act like a magnet, pulling them in. That’s why it’s important to understand which behaviors to ditch if you want to attract a...
Tafiti zinaonesha kuwa ni 2% tu ya waliopata wenza wa ndoto zao. 98% mmoja au wote 2 wanaishi na "ili mradi ni mke/mume", baada ya kukosa kwa sababu mbalimbali ywale waliowatarajia akilini mwao .
Wengi walitaka kumpata mwenzao mwenye package hii: msomi, tajiri, mrefu, mweupe, umbo namba 8...
Mwenye Kamusi mpya kabisa ya maneno mapya ya Kiswahili Fasaha ya TUKI aende katika Ukurasa wa 126 akamjue huyo Nyoka HATARI kabisa aitwa Fira.
Nyoka Fira hatari acheni masihara.....!!
Hawa wenzetu wanazeeka haraka sana jamani jana nilikuta na class mate wangu ila ilikuwa ngumu sana kumgundua hadi nilipo mchunguza kwa makini ndio kuja kugubdua ni class mate wangu wa sekondari 2006 2010 ila ni mmama kabisa yaani yule after 4 to 5 atakuwa na wajukuu kabisa.
Sasa kuna rafiki...
Ni class mate wangu
Allah ampungizie adhabu ya kaburi
Baada ya miaka kadhaa kuachana toka shule tukakutana nae aport akisafiri kwenda Kigoma m nakwenda Arusha
Kaka akaniambia nw n mheshimiwa anaenda kuwa hakimu huko Kigoma
Kiutani nkakuta namtania mkuu uwe makini yale maeneo sio elekezi...
Katika vitu vinavyonikera na kunitia kinyaa ni tabia ya wachezaji kutema mate uwanjani,. Najua sometimes kuna sababu(jasho kudondokea mdomoni, n.k), ila lazima kuwe na hatua za ku-discourage hii tabia ili vitendo hivi vipungue viwanjani kwani inatia kinyaa sana,
Wachezaji wenyewe ndio...
Msitumie mate wakati wa tendo la ndoa
"Sio salama kutumia mate kama kilainishi wakati wa tendo la ndoa kwa sababu kuna vijidudu ambavyo vipo katika mate, kwa hiyo vinatakiwa vikae huko huko havitakiwi kuhamishwa sehemu nyingine. Ukivipeleka sehemu za siri unaweza kusababisha changamoto...
Nimehaibika Leo ikabidi niache kuendelea kumkaribisha mgeni,nilitembelewa na mgeni Leo nikasema nipike ugali wa kutosha ni work mate wangu ,nikapika ugali na dagaa.
Dagaa nilizikaanga tu na kuzitia limao nikatenga chakula ile kuanza kula mgeni akawa ananipigisha story nikawa namsikiliza huku...
Polisi Jumatano waliwakamata Wayahudi watano wa Orthodox kwa tuhuma za kuwatemea mate waumini wa Kikristo katika Jiji la Kale la Jerusalem, huku kukiwa na ongezeko la matukio yanayowalenga makasisi na mahujaji katika mji mkuu.
Wakati huo huo, Waziri wa Usalama wa Kitaifa Itamar Ben Gvir...
Jamani wataalam au mtu anayejua hili tatizo la Kujaa Kwa mate mdomo wakati wa kuamka asubuhi, tena haya mate Huwa yanatoa harufu mbaya mno, muda mwingine hata mchana tu nikilala sana, nikiamka tu nakuta mate yamejaa mdomon sijui shid ni nini.
Wataalam au wenye kujua hili tatizo jaman🙏
Tangu nikiwa mdogo nilisikia na kuamini kwamba ute/ mapovu yanayokuwa kwenye mimea ni mate ya nyoka. Mpaka kufika wakati huu bado sijajua kama suala hili lina ukweli ama la.
Naomba wataalamu mnisaidie kujua uhalisia wa jambo hili
Kielelezo 1: Picha ikionesha mmea umeachiwa mapovu
Kielelezo...
Oh my God, mbwa anaingia na kutoka nyumba tunayoishi, room mate kamleta mbwa mdogo wa kucheza nae, shughuli si ndogo hii!! kuna muda tulienda kikazi mkoa x kwa miezi mitatu, niliishi na jamaa anapenda sana mbwa, siku ya pili kaleta ki puppy kimbwa kidogo anakijali kama mtoto wake vile, kucheza...
Kuna mwanamke hapa naona kama ameanza kutematema mate na nimekutana nae wiki hiihii na ofkoz ndio alikuwa kwenye tarehe za kutiwa mimba sasa hapa nisaidieni kinadada.
Sijui hata nifanyeje?
Nilipata tatizo la ganzi mwilini, nikatumia vodonge vya Pregabalin miezi minne. Sasa kila nikiongea na watu nawarushia mate Kama manyunyu yanapuliza.
Sasa watu hunikwepa au kuweka mikono usoni na mdomoni kwa tahadhari. Sikuwa na hili tatizo kabla.
Je nifanye nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.