mateja

Mateja (Serbian: Матеја) is a given name, variant of the Greek given name Mathias (Matthew). In Serbian, it's a masculine name, while in Croatian and Slovene, it's a feminine name.
Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Waziri unayehusika na vijana, BAGAMOYO haina vijana wote mateja ingilia kati

    Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA Ukweli usemwe na uwekwe wazi Wazazi wa bagamoyo malezi yamewashinda Bas serikali jitaidini kuingilia kati hili suala Vijana wanatekea wote ni mateja wote walevi Inasikitisha sana SAYUNI BOY
  2. FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

    Kariakoo Derby! Simba Vs Yanga, mchezo wa kukata na shoka. Je, Simba atafuta Uteja wa kufungwa na Yanga mfululizo? Kwa LigiKuu msimu huu, Simba imecheza michezo 5 ikikusanya alama 13 na Yanga michezo 4 ikikusanya alama 12. Katika siku hizi za karibuni Yanga imeonekana kupata matokeo Chanya...
  3. S

    Ni lini Zanzibar itatangaza mashoga na mateja kuwa janga la kitaifa? Hali ni mbaya sana hapa visiwani

    Msione aibu wala soni kulisemea hili ili kuviponya visiwa hivi. Mficha maradhi kifo humuumbua. Kisiwa cha Unguja halli ni mbaya sana . Lkn sijawahi kusikia tamko la serikali ikilaani mashoga na mateja wanaoongezeka kwa kasi ya kumbikumbi. Huwezi kutembeza km 0.5 bila kukutana nao
  4. 99% ya Wazanzibar ni washika dini, kila mtaa kuna nyumba ya ibada, utiriri wa walevi, mateja, malaya na mashoga!

    Ukifika Zanzibar na kujitambulisha wewe ni mhubiri au muumini thabiti wa dini fulani (tofauti na dini inayotawala zaidi pale Zanzibar) umekuja kwa shughuli ya kueneza habari njema kwa watu wote, unaweza usipewe hata nyumba ya kulala wageni haijarishi una pesa kiasi gani mfukoni. Lakini ukisema...
  5. Master J: 99% ya wasanii wa bongo ni 'mateja'

    Mtayarishaji maarufu wa muziki nchini Tanzania ambaye pia ni mchambuzi wa muziki kupitia show ya Bongo Star Search, ndugu Joakim Kimaro, maarufu kama Master J, amekiri kuwa 99% ya wasanii hapa nchini wanatumia bangi ndio maana wanapenda kuimba nyimbo zinazohamasisha ngono, uhalifu na matumizi ya...
  6. Moto Kariakoo 01 Okt 2023: Tuwape maua yao vijana mateja wa jangwani. Wamejitoa mhanga kufanya uokozi

    Nawapa pole nyingi sana kwa Watanzania wote walioathirika na moto mkubwa uliozuka Kariakoo alfajiri tarehe ya leo. Bado Tanzania ina tatizo kubwa kwenye sekta ya uokozi wa majanga. Ketengo hiki kipo chini ya ofisi ya Waziri Mkuu na huwa kinatengewa bajeti kupitia Bunge letu. Tanzania chini ya...
  7. Waathirika wa dawa za kulevya wameanza kurudi kwa kasi mitaani huku baadhi ya vijana wakichezea pesa kama vile zinaokotwa, pana uhusiano?

    Naona kwa sasa ile hali ya wateja wa dawa za kulevya imeanza kurudi kwa kasi, kukutana na mteja sugu yupo sehemu anaskilizia stimu ni kawaida. kile kipindi Magu alipofariki baada ya mwezi hivi kuna boti kubwa sana ya madawa ilikamatwa ile wiki ambayo kulitabiriwa kuwepo kimbunga huko Mtwara...
  8. Mamlaka haziwaoni mateja kituo cha daladala Kawe? ni aibu kubwa sana

    Inatisha sana ukipita asubuhi eneo la Kawe Stand na kukuta makundi ya vijana wakivuta bangi na kujidunga sindano za dawa za kulevya huku wakisindikiza na pombe na energy. Inashangaza sana kwasababu kituo cha Polisi Kawe hakipo mbali na eneo lile, ni kama mita 250 hivi lakini vijana wale...
  9. Paul Makonda shujaa wa taifa aliyesahaulika. Alipambana dhidi ya mateja, majambazi na matapeli wa kila namna

    Dar es Salam ilikaa kwa shwari Maana matapeli wa viwanja na pesa walikamatika Majambazi walikimbia na kuaicha Dar. Mafisadi wa ardhi walikimbia kama mbwa.
  10. Huyu "Shuhuda" wa matukio ya moto ahojiwe na chombo huru, ana mengi moyoni mwake

    Kuna huyu jamaa ana trend kwenye mitandao, yeye amekua kwenye matukio mawili makubwa, pale Kariakoo na sasa amejitokeza Tena Jana kuwa alishuhudia moto ule na kwamba chanzo Cha moto ule ni mshumaa uliowashwa na mateja. Kama umewahi kufuatilia documentaries za crime unaweza kupata ABCs kuhusu...
  11. Shuhuda: Chanzo cha moto soko la Karume ni mateja, waliangusha mshumaa wakati wanatengeneza mihadarati

    Cloudsfmtz "Chanzo cha moto ni mateja ambao tupo nao sokoni Karume ambao wao wanajihusisha na kuuza viatu, unajua pale sokoni kuna moja ya banda ambalo wao huwa wanalitumia kutengeneza mihadarati yao ambayo huwa wanatumia mishumaa kuitengeneza na siku hiyo mshumaa ulianguka na kuanza kuungua"...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…