Hamas imetangaza Alhamisi kuwa itawaachilia huru mateka watatu wa kutoka Israel kama ilivyopangwa.
Awali, Hamas ilikuwa imetishia kuchelewesha kuachiliwa kwa mateka, ikidai Israel haijatimiza makubaliano ya kupeleka mahema, hifadhi, na misaada mingine.
Israel, ikisaidiwa na Rais wa Marekani...