Matembezi haya yenye lengo la kukiimarisha chama na kuleta umoja kati ya Wanachama na makundi mbalimbali ndani ya CHADEMA.
Lengo pia ni kuunga mkono demokrasia ndani ya chama na kusapoti msimamo wa CHADEMA kuhusu katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Matembezi hayo yafanyike kila mkoa kwa...
Mabalishano ya uongozi yaliyotokea hivi karibuni CHADEMA yamepokelewa vizuri sana na wapenda demokrasia ndani na nje ya nchi.
Kuna umuhimu kwa wanachama wa CHADEMA na wapenda demokrasia wote kupongeza juhudi hizi kwa njia iliyotukuka kupitia matembezi ya mshikamano nchi nzima.
CHADEMA tumefanikiwa kuvuka mtihani mgumu wa uchaguzi mkuu na kufanya mabadiliko ya safu za uongozi kwa mafanikio makubwa huku kikibaki kuwa chama chenye umoja na mfano wa kuigwa wa demokrasia nchini.
Nashauri uongozi wa CHADEMA katika siku moja yafanyike matembezi ya mshikamano kila mkoa...
Amani kwenu watumishi
Leo kwenye matembezi ya Aman kule Arusha yalikuwa yakiongozwa na mkuu wa mkoa wa Arusha yalishilikisha viongozi wa dini, lakin cha ajabu katika matembezi hayo sijamuona askof wa Arusha wala Padre kutoka kigango chochote kile
Au mapdre hawakualikwa ?
Uzi huu...
Katika kuadhimisha miaka 63 ya uhuru wa Tanzania, mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda pamoja na Viongozi wa dini wameitumia siku hii kufanya maombezi ya kuliombea taifa pamoja na mkoa wa Arusha, wananchi wamejitokeza kwa wingi.
Soma, Pia: Paul Makonda: Tutakachofanya Tarehe 9 Disemba jijini...
Matembezi ya vijana yanayopangwa na Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) yana hasara kadhaa zinazoweza kutokea kwa vijana wasomi na wasioajiriwa katika jamii kutokana na matembezi haya.
1. Kutengwa Kijamii
Matembezi yanaweza kuonekana kama shughuli za kijamii, lakini kwa vijana...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo, leo Septemba 13, 2024 wamechangia damu kwa wagonjwa wenye uhitaji na kufanya mazoezi ya kutembea katika Jiji la Arusha.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Debora...
07. 05. 2024
Nilifanikiwa Kutembelea Ofisi Ya Afisa Mtendaji wa Kata Ya Kivule, Ili Kujua Mipango Ya Maendeleo Inayoendelea Kwenye Kata Ya Kivule, Pamoja Na Mipango Waliyonayo Katika Utatuaji wa Changamoto, Kwenye Kata Ya Kivule.
Katika Matembezi Haya, Niliweza Kujua Mipango Ya Maendeleo...
Nilifanikiwa Kutembelea Baadhi Ya Wananchi Wa Wilaya Ya Ilala, Kutoka Kata Ya Kivule, Ili Kujua Maendeleo Ya Wananchi wa Wilaya Yetu Ya Ilala.
Katika Matembezi Haya, Nilifanikiwa Kujua Mafanikio Yaliyofikiwa Na Serikali Ya Chama Cha Mapinduzi Kwa Wananchi Wake, Changamoto, Pamoja Na Mapendekezo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuongoza matembezi ya hiyari, ikiwa ni hatua ya kuunga mkono maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili na udhalilishaji wa kijinsia.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na taasisi ya Asma Mwinyi Foundation, ambayo ndiyo...
Habari za Jioni wa JF....
Nimekuwa nikifatilia tetesi kadhaa kuhusu maeneo ya Jiji la Dar es Salaama yanayojulikana kama Buza kwa Mpalange.
Hii ilinipa shauku ya kwenda na kutembelea haya makaazi.... kuwa ni maeneo yaliyosahaulika kimaendeleo na kusababisha maoni tofauti kwa kila wananchi ...
MATEMBEZI YA KUIMARISHA MUUNGANO, KUHAMASISHA UTALII WA NDANI NA KUPINGA VIASHIRIA VYA KUWAGAWA VIONGOZI WA KITAIFA
Kundi La JAMII MPYA TANZANIA likujumuisha wanachama wake zaidi ya 300 kutoka mikoa ya Tanzania Bara lafanya MATEMBEZI YA AMANI yenye jina la JAMII MPYA MUUNGANO TOUR kutoka...
Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi ataongoza Matembezi ya Kupinga Vitendo vya Udhalilishaji kwa Watoto.
12:00 Asubuhi.
19 Februari, 2023.
[emoji625]Uwanja wa Hamburu Nungwi Wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Watafiti wa Vyuo Vikuu vya Victoria na York vya Canada wamebaini kuwa mazoezi hayo yanafaida kubwa katika Afya ya Akili kuliko kufanya mazoezi ya aina hiyohiyo ya ndani.
Aidha, utafiti huo umebaini kuwa mazoezi hayo pia yana faida kifiziki ambapo waliohusika katika sehemu ya utafiti huo ambao...
Wazalendo amani iwe kwenu,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya ufungaji wa Matembezi ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) kuadhimisha Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Hafla itakayofanyika tarehe 10, PAJE - KUSINI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.