Wakuu,
Wananchi wa Wilaya ya Tanga Mkoani Tanga wamejitokeza kwa wingi kushiriki matembezi ya pamoja yaliyoongozwa na Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kumpokea Rais Samia anayetarajiwa kuwasili mkoani humo leo Februari 23,2035 kwa ziara ya kikazi...