matende

Millen Matende (born 23 September 1982) is a Zimbabwean long distance runner. He competed in the men's marathon at the 2017 World Championships in Athletics.

View More On Wikipedia.org
  1. Mshana Jr

    Haiba ya 'brothers are forever' ya mwamba inamuotea matende

    Nilimfahamu kwa karibu kipindi cha ukarabati wa kisasa wa Bills.. Nilikuwa sehemu ya technical team.. Hivyo tulionana karibia kila siku pale site Mwamba ni mtu makini sana mtulivu asiye na papara, mwangalifu mno anayeepuka kuharibu kwa namna zote! Ana tunu ya upendo halisi.. Ni mwepesi sana...
  2. Pascal Mayalla

    Magonjwa ya Usubi, Matende na Mabusha, Yanazuilika na Yanatibika!, Tujitokeze kwa Wingi Kupata Kinga, Wagonjwa Wajitokeze Kupata Tiba Bure

    Leo January 30 ni kilele cha siku ya kimataifa ya maadhimisho ya magonjwa ambayo hayapewi kipaumbele Duniani, ambapo kitaifa maadhimisho hayo yanafanyika mjini Tanga kwa kauli mbiu ya “Chukua hatua sasa kwa pamoja tuchukue hatua tuwekeze sasa". Kwa mujibu wa Meneja wa Mpango wa Taifa wa...
  3. John Haramba

    Kingatiba ya Mabusha na Matende yatolewa Dar, Kata ya Tandale yaongoza kwa maambukizi

    Zaidi ya wananchi milioni nne wa Dar es Salaam katika Halmashauri za Temeke, Kinondoni na Ilala kuanzia wenye umri wa miaka mitano wameanza kupatiwa tibakinga dhidi ya ugonjwa wa matende na mabusha kuanzia Kata ya Tandale ambayo ina idadi kubwa ya wagonjwa kwa Manispaa ya Kinondoni. Kauli hiyo...
Back
Top Bottom