Nilimfahamu kwa karibu kipindi cha ukarabati wa kisasa wa Bills.. Nilikuwa sehemu ya technical team.. Hivyo tulionana karibia kila siku pale site
Mwamba ni mtu makini sana mtulivu asiye na papara, mwangalifu mno anayeepuka kuharibu kwa namna zote!
Ana tunu ya upendo halisi.. Ni mwepesi sana...