Mwanaume alikuwa na kawaida ya kumpa ombaomba mmoja Shilingi milion moja kila mwezi.
Mtu huyo aliendelea kufanya hivyo kwa muda Sana.. Sasa Siku moja, akampa ombaomba shilingi laki saba na nusu pekee. Ombaomba yule alishangazwa na hilo, lakini akajisemea, 750,000 ni bora kuliko kukosa...
Wema hauozi ,matendo mema ni akiba yako mbinguni na duniani.
Uzuri wa mtu upo katika matendo yake mema.
Mikono inayosaidia watu ni bora kuliko midomo inayosali bila matendo.
Imani bila ya kuwa na matendo mema imekufa.
Ni heri kutoa kuliko kupokea..
Mikono inayotoa kusaidia wahitaji...
Kaka pamoja na kwamba umeamriwa kupenda ila hakikisha unayempenda naye anakuelewa kuna utii, baraka na matendo mema utayapata
Mwanamke akupenda kuna upendo utaupata, atakusaidia na atasimama na wewe kwenye changamoto zako. Mwanamke akikupenda hata kama atakuwa na mzuri wa muonekano au atakuwa...
Hello JamiiForums,
Leo ni jumapili ya mwisho ya mwezi wa saba kwa mwaka 2024 siku muhimu na siku pekee kuhudhuria kanisani baada ya kuasi kwa takribani miaka sita.
Mungu ni mwema Mungu ni muweza, amenifanya kiumbe kipya najisikia faraja na furaha baada ya kuirejea na kuitimiza ibada kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.