Misongo ya mawazo na masononeko wanayopitia wanaume ni mingi mno na kwa bahati mbaya wengi wetu tunaweka moyoni kitu ambacho yanatumaliza.
Hofu ya kuyatamka yanayotukwaza yamepeleka wengi sana kaburini na kuna waliopatwa na maradhi ya kudumu kutokana na changamoto za kisaikolojia.
Makosa...