maths

  1. Tariq gabana

    Mwanangu anaipenda sana computer na na ujuzi wake nauona. Nisaidien ana ufaulu wa four ya 26 f ya maths , English na biology pass

    Ujuzi wake nauona kamaliza forum 4 window anajua kuitengeneza computer anajua eti nisaidie wakuu kati ya computer science na information technology au kozi yoyote ya computer,, Mimi baba yake kazi yngu ni fundi cm na computer yaan accessories yoyote ya umeme na fix LAKINI nataka mwanangu awe...
  2. Teknocrat

    Hard Maths: Shinda Dollar Milioni Moja ($1,000,000)

    https://www.math.tugraz.at/~elsholtz/WWW/papers/papers14faber.html https://explainingscience.org/2019/09/01/the-goldbach-conjecture/ Mnamo 1742, Mwahisabati nguli kwa jina la Christian Goldbach, alifikiria dhana ambayo ilimshinda kuijibu na kuomba Mwanahisabati mwingine mbobozi anayejulikana kwa...
  3. MamaSamia2025

    Mwalimu wa Physics na Maths anahitajika

    .
  4. mama D

    Binti kamaliza form 6 na ndoto za kusomea udaktari kwa matokeo ya Division 1 ya 9; Physics C, Chemistry C, Biology C, Maths C, amekosa mkopo

    Habari za jioni wakuu mabibi na mabwana Huyu binti namfahamu tangu akiwa mtoto. Anatoka kwenye mazingira magumu kuliko ngumu wenyewe. Hamjui baba yake mzazi, hajawahi kumsikia wala kumuona. Mazingira ambayo mama yake hawezi kumiliki hata simu ya elfu20, hawezi lipa kodi vyumba2 vya elfu 60...
  5. T

    Let your kid learn math in a funny, entertaining, attractive, and interactive approach

    Hello Friend, You can now start using our numeracy materials to help your kids learn in a funny, entertaining, attractive, and interactive approach. To access materials, Log in here with the following credentials: Username: Numeracy Password: numer Please see the attached screenshots for an...
  6. Teknocrat

    Simple Maths

Back
Top Bottom