Na Mwandishi Wetu, Manyara
Kampuni ya kuzalisha vinywaji changamshi ya Mati Super Brands Limited imeshiriki na kudhamini Matembezi maalumu ya kuhamasisha Wananchi kujiandikisha kwenye Daftari la kudumu la wapiga kura yanayofahamika kama "Manyara Daftari Day" ambapo Mamia ya wakazi wa mkoa wa...
Kampuni ya Mati Super Brands Limited inayozalisha vinywaji changamshi kupitia kinywaji chake pendwa cha Tanzanite Premium Vodka imedhamini Maonesho ya 3 ya Biashara, Viwanda, Madini na Kilimo ya Tanzanite Premium Vodka yatakayofanyika katika Viwanja vya Tanzanite Kwaraa Stedium Octoba 20-30...
Ferdinand Shayo, Manyara.
Kampuni ya kuzalisha vinywaji changamshi yenye makao makuu yake Mjini Babati Mkoani Manyara ya Mati Super Brands Limited imesaini mkataba wa makubaliano ya kufanya kazi pamoja na Kampuni ya Muziki ya Bongo Records inayoongozwa na Producer Maarufu PFunk Majani kwa lengo...
Na Ferdinand Shayo, Manyara
Kampuni ya Mati Super Brands Limited inayozalisha vinywaji changamshi iliyopo mjini Babati Mkoani Manyara imedhamini timu ya mpira wa miguu inayoshiriki ligi kuu ya soka tanzania bara ya Fountain Gate kupitia kinywaji chake kipya cha Tanzanite Royal Gin ambapo timu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.