Kiongozi wa Chama cha Jubilee, Fred Matiang’i, ameonya kuwa msimamo anaoueleza kuwa wa kiburi na majivuno wa kiongozi wa Democracy for the Citizens Party (DCP), Rigathi Gachagua, unaweza kuhatarisha umoja wa upinzani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027.
Matiang’i ameeleza wasiwasi wake kuhusu namna...