https://forms.gle/unEoTS5RH4dQ6mUA7
HAYA! Kama wewe ni msailiwa, Mtainiwa mtarajiwa, Thinker kiongozi, au mtu yeyote anayekabiliana na hali tata zinazohitaji uchambuzi wa kina ili kupata majibu sahihi, basi Mental Therapy Scanner ni kwa ajili yako.
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://forms.gle/unEoTS5RH4dQ6mUA7...
Mbunge wa Jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda amezindua kambi ya wiki mbili ya matibabu bure ya macho na matatizo ya mkojo kwa wananchi wa Jimbo hilo lililopo Mkoani Katavi.
Hafla ya Uzinduzi huo imefanyika tarehe 11 Machi 2025 katika hospitali...
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma Shaban Millao mara baada ya kupokea barua ya kuhitajika kwa msaada wa mtoto Abuyasili Abdi Iddy mara moja ameacha kazi zote ofisini na kufika katika kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu ili kufahamu shida na utatuzi wake...
Grimes mwanamke aliyezaa na Elon Musk watoto watatu ameamua kuposti X/Twitter akilalamika Elon baba watoto wake hapokei simu au kujibu meseji zake kuhusu mahitaji ya mtoto wao anayehitaji matibabu na kwamba kadri anavyochelewa kutibiwa atapata madhara ya kudumu.
Anasema kama Elon hataki kuongea...
Katika fani ya magonjwa ya akili yapo magonjwa kama vile msongo wa mawazo (stresses) na sonona (depression) ambayo tiba yake kuu ni kutoa ya moyoni hadharani au kwa mtu unaemwamini. Tiba hii kitaalam inaitwa "mental ventilation" au mental catharsis. Unapokuwa unaongoza watu hakikisha kuwa...
Hivi unahisi Tanzania ya Leo ni sawa na miaka ya 60? Unapokuja kulazimisha hospitali za Umma zianzishe utaratibu wa kuchangisha pesa kinyume na miongozo ya afya una maana Gani?
Kuna huduma zinazolipiwa na zipo huduma ambazo kutokana na umuhimu wake serikali imeona zitolewe Bure. Wewe kwa ukaona...
Watanzania wamesikia kauli ya mkoa wa Dar, Albert Chalamila kuwa, mjawazito atawajibika kuchangia matibabu na akishindwa aende akajifungulie nyumbani. Japokuwa imetolewa kwa kebehi lakini ni kauli iliyobeba uzito mkubwa ikizingatiwa sera rasmi ya serikali katika sekta ya afya ni mjawazito...
Jana nilitoka nje ya wilaya niliyopo kwa ajili ya jambo flan flan, sasa wakati nikiwa huko ugenini mwenyeji wangu alichelewa kunifuata baada ya kumsubiri kwa muda alikuja.
Basi akasema amechelewa kuna jirani yake anaumwa sana yupo nyumbani basi wakati tunaongea kumbe alisahau simu huko...
Kiharusi (stroke) ni ugonjwa wa kupooza sehemu au upande mmoja wa mwili kutokana na hitilafu/uharibifu kwenye ubongo, hasa ubongo kukosa damu au damu kuvilia ndani ya ubongo.
Kiharusi husababisha ulemavu na vifo duniani kote ambapo kila mtu mmoja (mwenye miaka 25 na zaidi) kati ya wanne hupata...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda na Waziri wa Afya nchini Tanzania Mhe. Jenista Mhagama, wamekubaliana kukutana Dodoma Makao Makuu ya Wizara hiyo, kufanya mazungumzo ya pamoja ya kupanga utekelezaji wa ndoto na Maono ya Mhe. Makonda ya kuufanya Mkoa wa Arusha kuwa Kitovu cha...
Picha kwa hisani ya Google.
Kupooza uso/mdomo ni hali ya mdomo kusogea pembeni au kwenda upande mmoja (kitaalamu huitwa Facial nerve paralysis/Bell's Palsy) ambayo husababishwa na matatizo ya mishipa ya fahamu ya uso/mdomo (facial nerve) ambayo husimamia na kuendesha utendaji kazi wa misuli ya...
Wale ambao mna watoto au ndugu zenu Ila tayari wameathirika na uraibu mbalimbali kama Pombe, Sigara na Bangi naomba tuwasiliane ili niwapatie matibabu.
Tupo na kituo cha rehabilitation (Rehab) Kwa ajili ya HUDUMA zifuatazo:
1. Waathirika wa pombe , bangi na madawa
2. Huduma za kisaikolojia...
Wakuu kuna makala nimesoma inasema kinacho waua haraka wagonjwa wenye saratani sio saratani yenyewe
Chemotherapy ndio huwaangamiza wagonjwa wa saratani kwa haraka kwanii hupelekea kuunguza viungo ndani ya miili yetu kama moyo ini figo nk
Wagonjwa walio wengi baada ya kupiga hiyo mionzi huanza...
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imetangaza huduma ya kuwapima moyo na kuwapa matibabu bure Wasanii wa Tanzania ili kuwasaidia kuokoa maisha yao.
Akiongea leo December 13,2024 Mkurugenzi wa JKCI, Dkt. Peter Kisenge amesema wametoa huduma hiyo kwa...
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini jinsi desturi ya kuchangia na kufanya sherehe kubwa, hususan harusi, inavyozidi kushika kasi hapa nchini. Kinachoshangaza zaidi ni kwamba ule wigo wa kuomba michango sasa umepanuka kiasi cha kutisha. Leo hii, mtu ambaye jina lako halijui vizuri anaweza kukuomba...
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi amesema miili huzuiwa mochwari kutokana na madeni ya gharama za matibabu ambazo marehemu alikuwa akidaiwa pindi alipokuwa hai na si kushindwa gharama za mochwari.
Wabunge wanne kati ya 17 waliolazwa katika Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) wameruhusiwa baada ya afya zao kuimarika, huku wengine wakiendelea na matibabu.
Majeruhi hao walipata ajali juzi eneo la Mbande wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma wakienda Mombasa, Kenya kwenye mashindano ya 14 ya Mabunge...
1. Imekua kawaida Watanzania kwenda kutibiwa India kwa Kodi za wavuja jasho.
2. Hizi gharama CAG anaweza kuzikagua? Maana tunapanda nao Emirates wao wakitanua Business class na wasindikizaji huku walipa Kodi tukijilipia economy
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.