Anaandika rafiki yake na SATIVA 🧵 Taivina James ✍️
Nilitaka niandike baada ya kuona upande wetu ambao ni wa familia ni nini kitafanyika baada ya Statement ya jana lakini bado kimya. Acha niongee kwa upande wangu mwenyewe iko hivi Sativa alipotea kwa siku zaidi ya 3 mimi ndo mtu wa kwanza...