Habarini wadau.
Naomba kufahamu utaratibu wa matibabu ya watoto walio chini ya umri wa miaka mitano.
Kuna mtu aliniambia kwamba watoto wenye umri huo wanatibiwa bure kabisa hulipi chochote,je? Kuna ukweli wowote?
Kama kuna Mtu yeyote anisaidie utaratibu wa kupata matibabu kwa watoto walio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.