Habar za wakati huu wanaJF?
Binafsi nimekuwa nikipata shida kidogo kuelewa nini tatzo hasa ninapoamua kununua na kula tikitimaji siku za karibuni, nakumbuka miaka ya nyuma ktk matunda yaliyokua yakiongoza kwa utam na sukari basi n tikiti lakini haya matikiti ya siku za karibuni hayana ladha...