Wanabodi,
Tupo katika kile kipindi cha mwaka ambacho kama kawaida, tuna rubuniwa kwa maneno matamu. Maneno matamu yanayoweza kutoa nyoka zaidi ya kumi pangoni. Ni kweli, hakuna marefu yasiyo na ncha na ukiona vya elea basi ujue vimeundwa.
Fahamu kwamba takwimu zozote zile zinaweza kutafsiriwa...
Matokeo ya Darasa la saba hupangwa kwa Mkoa/wilaya kitu ambacho ni kizuri na hata mtu akitaka kuperuzi shule za Wilayani kwake anaweza kuziona zote kwa urahisi.
Au pengine waweke option ya kufilter, mtu akitaka shule za Mkoa X, au Wilaya Y, shule za wasichana, Wavulana, Shule za ufundi, shule...
Wakuu matokeo ya mtihani wa darasa la vii kwa mwaka 2024 yametoka.
Matokeo ya Darasa la saba yatangazwa leo Oktoba 29, 2024 yaliyotangazwa na Katibu Mtendaji Baraza la Mitihani Necta Dkt. Said Ally, ambapo watahiniwa 974,229 kati ya wanafunzi 1,230,774 waliosajiliwa kufanya mtihani wamefaulu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.