matokeo darasa la saba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Burning Spear

    Matokeo darasa la saba 2024, kuna kila dalili hujuma zinafanyika dhidi Shule za Kayumba

    Nimejaribu kuzura kuangalia matokeo kwa shule mbalimbali nikilinganisha.privaye schools na kayumba napaa wasiwasi hujuma inafanyika kuzipa promo private schools. Kwa kweli Matoleo ya ovyo mno tena ovyo kabisa kwa kayumba schools. Asilimia kubwa ya shule hizi wana wastani wa C, huku privtae...
  2. BARD AI

    Matokeo ya Darasa la 7 2023: Wanafunzi 31 wafutiwa Matokeo kwa kufanya Udanganyifu

    Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika Septemba 13-14, 2023. Matokeo hayo yametangazwa leo, Alhamisi Novemba 23, 2023 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Dk Said Mohammed. Kwa mujibu wa Dk Mohammed, wanafunzi 360 ambao walipata matatizo ya...
  3. R

    Waliofutiwa matokeo darasa la saba wafaulu kwa kishindo

    Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta), limesema wanafunzi 2,095 kati ya 2,180 waliofanya mtihani wa marudio wa darasa la saba uliofanyika kati ya Desemba 21 na 22 mwaka 2022 wamefaulu daraja A hadi C sawa na asilimia 96.1. Limesema wanafunzi hao kati ya 2,194 waliofutiwa matokeo...
  4. luambo makiadi

    Matokeo darasa la Saba 2021: Kagera yaporomoka, Kilimanjaro mambo safi

    Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..... Somo tajwa hapo juu lahusika,mkoa wa kagera ktk matokeo ya darasa la Saba 2021 umeporomoka kiasi Cha kukosekana miongoni mwa mikoa 10 iliyofanya vizuri, sii tu kimkoa Bali hâta katika halmashauri 10 bora Hakuna hata moja ya mkoa...
  5. PAZIA 3

    NECTA Yatangaza matokeo ya darasa la Saba. Shule 38 zafutiwa matokeo kwa udanganyifu

    MATOKEO YA DARASA LA 7 YATANGAZWA. SHULE 38 ZAFUTIWA MATOKEO KWA UDANGANYIFU Baraza la Mitihani nchini #Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kuhitimu Elimu ya Msingi ambapo limezifutia matokeo Shule 38 za Msingi kutokana na udanganyifu uliofanyika wakati wa Mitihani hiyo ya Taifa Shule hizo...
  6. Influenza

    NECTA yatangaza matokeo ya Darasa la Saba 2019. Ufaulu waongezeka kwa asilimia 3.78

    NECTA imetangaza Matokeo ya Darasa la Saba 2019 na kusema kuwa ufaulu umeongezeka kwa asilimia 3.78. Waliofaulu ni asilimia 81.50 ya watahiniwa 933,369. Pia Watahiniwa 909 wamefutiwa matokeo kwa sababu mbalimbali ikiwemo kufanya udanganyifu ***** Baraza la Mtihani la Taifa (Necta) limesema...
  7. beth

    NECTA yatangaza Matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2018. Ufaulu waongezeka kwa asilimia 4.96 kutoka mwaka 2017

    Baraza la Mitihani NECTA limetangaza matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi (darasa la saba) ambapo matokeo yanaonyesha ongezeko la ufaulu kwa asilimia 4.96% tofaiti na ufaulu wa 2017 ambao ulikuwa asilimia 72.76% Dk. Charles Msonde amesema katika tathmini ya awali kiwango cha ufaulu...
  8. Kunguru Mjanja

    NECTA yatangaza matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi kwa mwaka 2017. Shule kanda ya Ziwa zang'aa

    Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde amesema watahiniwa 662,035 kati ya 909,950 waliofanya mtihani huo wamefaulu kwa kupata alama 100 au zaidi kati ya alama 250 wanazopaswa kupata. Dk Msonde amesema kati ya waliofaulu, wasichana ni 341,020 ambao ni sawa na asilimia 70.93 na wavulana ni...
  9. Kisu Cha Ngariba

    RIPOTI KAMILI: Kuhusu matokeo ya Darasa la Saba 2016

    Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kupitia Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) jana October limetangaza matokeo ya mtihani wa Darasa la Saba huku ikionesha kuwa UFAULU umepanda kwa asilimia 2.52 kutoka asilimia 67.84 mwaka jana hadi asilimia 70.36, huku wavulana waking’ara katika matokeo hayo...
  10. U

    Matokeo ya Mtihani wa Darasa la saba mwaka 2015 yatangazwa

    Katibu wa baraza la mtihani ameyatangaza matokeo ya darasa la saba mwaka huu 2015 kiwango cha ufaulu kimeongezeka kutoka 62 hadi 67 asilimia.somo la kiswahili ndo linaloongoza kwa ufaulu huku kiingereza ndo ya mwisho kwa ufaulu. Soma pia matokeo mengine kuanzia mwaka 2008 Matokeo ya Mtihani wa...
  11. Dotto Mnzava

    Matokeo ya darasa la Saba 2014 yatangazwa, mkoa wa Dar es Salaam waongoza

    Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya darasa la Saba mwaka 2014 ambayo yameonyesha ongezeko la ufaulu wa asilimia 56.99 tofauti na ufaulu wa mwaka jana wa asilimia 51.6 Akitangaza matokeo hayo jijini Dar es salaam leo Novemba 5, 2014 Katibu Mtendaji wa Baraza la mitihani...
  12. G

    Matokeo ya Mtihani wa Taifa Darasa la Saba 2013, Kumi bora

    Tafadhali naomba kujulishwa shule kumi bora kitaifa kwa mujibu wa matokeo ya mtihani wa Taifa darasa la saba 2013. Soma Pia matokeo mengine kuanzia mwaka 2008 Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2008 Matokeo ya Darasa la Saba mwaka 2012 yatangazwa rasmi
  13. Neiwa

    Matokeo ya Darasa la Saba mwaka 2012 yatangazwa rasmi

    Wakuu, Leo tuangalie upande wa shule za Msingi, matokeo kutupa picha ya mwelekeo wa elimu kama unazidi kudorola ama kuna matumaini ya kunyooka. Soma Pia matokeo mengine kuanzia mwaka 2008 Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2008 Matokeo ya darasa la saba 2010 shule binafsi zafanya...
  14. kilimasera

    Matokeo ya darasa la saba 2010 shule binafsi zafanya kweli iringa

    SHULE ya kimataifa ya Soutthern Highland Mufindi na Brokebond zafanya vizuri mtihani wa taifa wa darasa la saba mwaka 2010 katika mkoa wa Iringa na kuzipita kwa mbali shule za msingi zinazosimamiwa na serikali huku mapacha walioungana kiwili wili wa Makete wakifanya maajabu makubwa ya ufaulu...
  15. Mhache

    Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2008

    Matokeo ya mitihani wa darasa la saba yametoka na Mkoa wa Dar es Salaam umeongoza kwa kufaulisha ukifuatiwa na jiji la kitalii, mkoa wa Arusha. Cha kushangaza ni kwamba idadi kubwa ya waliofaulu hawatapata nafasi ya kuendelea na masomo ya kidato cha kwanza. Je hilo ni tatizo la nani? Na kama...
Back
Top Bottom