Mwanangu hajui hata National Flag ni nini, hajui hata what is civics:
Hajui hata fasihi ni kitu gani! Haelewi hata simulitenious equation inafanywaje nikiwa kama mzazi mzalendo ni vyema nikakata rufaa niambiwe kaipataje hiyo division three!
Kijana wangu tangu form one alikuwa na kadaftali...
Kusema ukweli kuna kitu hakipo sawa kwa sasa!
Miaka 20 iliyopita division 3 kuipata ilikuwa kipengele sana,
Hata waliopata walikuwa nauwezo flani hivi kiakili!
Sasa hivi siyo ajabu mtu ambae hata hajui what is biology anapata. Division 3,
Mtoto ambae hata simultaneously equation hajui lakini...
matokeo ya form four kwa mwaka 2024 yametangazwa leo.
Kwa mujibu wa baraza la mitihani, ufaulu umepanda kwa asilimia tatu.
Ila huku kwenye shule za kata hali mbaya. Unakuta nusu ya wanafunzi wamefeli vibaya mno katika shule husika.
Mfano shule kama Kitunda hali ni mbaya, wanafunzi 249...
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa Kidato cha Nne uliofanyika kuanzia Novemba 11 hadi Novemba 29, 2024.
Matokeo hayo yametolewa rasmi leo, Alhamisi, Januari 23, 2025, na Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk. Said Mohammed.
Wanafunzi pamoja na wazazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.