matokeo form six

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Matokeo Kidato cha Sita 2024 yatoka. Ufaulu wapanda kwa asilimia 0.26

    Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2024, leo Jumamosi Julai 13, 2024 katika ofisi za Baraza hilo Zanzibar. Kuangalia matokeo bonyeza hapa: Matokeo Kidato cha Sita 2024 Jumla ya watahiniwa 113,504 walifanya mtihani wa kidato cha sita, mwaka huu...
  2. Angalia hapa Matokeo ya Kidato cha 6 mwaka 2023

    Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) imetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2023 huku yakionyesha ufaulu wa jumla umeongezeka kwa asilimia 0.26 ikilinganishwa na mwaka jana. Akitangaza matokeo hayo leo Julai 12, 2023 katika ofisi za Baraza hilo Zanzibar, Katibu Mtendaji wa Necta Dk Said...
  3. NECTA yatangaza matokeo ya Kidato cha 6 - 2021. Ufaulu waongezeka kwa 0.19%

    Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania Dkt Charles Msonde anatangaza matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Sita na Ualimu iliyofanyika Mei 2021. Ameeleza kuwa ufaulu wa wanafunzi umeongezeka kwa asilimia 0.11 ikilinganishwa na mwaka 2020. Dkt Msonde amesema hayo leo visiwani Zanzibar na...
  4. Matokeo ya Kidato cha Sita kwa Mwaka 2019 yametangazwa rasmi leo

    Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) nchini Tanzania leo Alhamisi Julai 11, 2019 limetangaza matokeo ya kidato cha sita ya mwaka 2019 Katika matokeo hayo yaliyotangazwa na Katibu Mtendaji wa Necta mjini Unguja Zanzibar, Dk Charles Msonde amesema ufaulu umeongezeka kutoka asilimia 97.58 mwaka...
  5. Maajabu matokeo ya kidato cha sita 2018

    Unaweza kuyaita maajabu ya aina yake baada ya Baraza la Mitihani Taifa (Necta), kutangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2018, huku shule kongwe ya Jangwani iliyopo jijini Dar es Salaam ikiwa katika orodha ya shule 10 za mwisho. Jingine katika matokeo hayo ni Shule ya Sekondari Kibaha kupanda...
  6. Matokeo ya kidato cha sita 2017/2018

    Link hi hapa http://www.tamisemi.go.tz/noticeboard/tangazo-1070-20170715-Matokeo-ya-Kumaliza-Kidato-cha-Sita-na-Ualimu-2017/ACSEE2017/indexfiles/index_a.htm Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009 Baraza la Mitihani latangaza Matokeo ya Kidato Cha Sita 2016 Matokeo Kidato cha Sita 2009
  7. Matokeo ya kidato cha sita 2010 hadharani

    Matokeo ya kidato cha sita kwa mwaka 2010 yametangawa rasmi. Unaweza kuyaangali yote kupitia website ya NECTA iliyopo hapa chini. www.necta.go.tz Soma Pia: Matokeo Kidato cha Sita 2009
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…