Siku zote kocha huwa analaumiwa kwa matokeo mabaya kutokana na yeye ndie anaefundisha na kuchagua wachezaji wa kuanza kwenye kikosi. Sasa nyinyi mnaolazimisha Phiri apangwe, je, akipangwa na matokeo yakawa mabaya nani atawajibika?
Ni kawaida kwa mchezaji aliekuwa tegemeo kupoteza namba baada ya...