Mpaka Muda huu saa 10 na nusu jioni siku ya pili ya uchaguzi hapa kijijini kwetu kikunja Halmashauri ya wilaya Songea hatujabandikiwa matokeo ya uchaguzi kwa ngazi ya wenyeviti wa vijiji.
Kila kituo ninachotembelea wamebandika matokeo ngazi ya vitongoji tu kulikoni? Au Kura hazijatosha maana...