Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye amewatoa wasiwasi wakazi wa Bukoba na wanachama wa CCM kuwa Mbunge wao Stephen Byabato atashinda uchaguzi ujao na hakuna mwingine.
"Matokeo ya kura siyo lazima yawe yale ya kwenye box, inategemea nani...
bao la mkono
kuelekea 2025
kuhesabu kura
kutangaza matokeomatokeouchaguzimkuumatokeo ya uchaguzi
nape nnauye
siasa tanzania
ushindi nje ya boksi
wizi wa kura