Habari za mida hii wadau
Nimekuja na hoja yangu tuijadili.Leo matokeo ya kidato xha sita yametoka ila watoto nimeona wamefaulu sana
Unakuta shule ina division one na two.sasa jamani mimi swali langu ni hili hivi tuseme watoto wasasahivi wanaakili sana kuliko wazazi wao .maana kipindi chetu...
Matokeo ya kidato cha 6 yametangazwa.
Ufaulu umeongezeka mara dufu zaidi ya wanafunzi 90% wamefaulu.
Shule zilizoongoza ni
1. Marian Girls
2. Mzumbe
Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009
Matokeo kidato cha sita 2012 yametoka
Matokeo Kidato cha Sita 2009
=========================
Updates...
Matokeo ya kidato cha sita kwa mwaka 2010 yametangawa rasmi. Unaweza kuyaangali yote kupitia website ya NECTA.
Kibaha, Mzumbe, Ilboru, Marian zaongoza kama kawaida.
http://www.necta.go.tz/acsee2009/acsee2009.html
Soma Pia
Matokeo ya kidato cha sita 2010 hadharani
Matokeo ya mtihani wa kidato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.