Leo tarehe 17 Julai, 2023 Mafunzo ya matumizi ya matokeo ya Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 yamefunguliwa Mkoani Manyara na Anna Makinda, Kamisaa na Muhamasishaji wa Sensa Tanzania, na Kuhudhuruwa na Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Cuthbert Sendiga, Sekretarieti ya Mkoa, Kamati ya Sensa...