Hamjambo humu?
Imekua mara yangu ya kwanza kufanya written interview za serikali.
Nimefanya nafasi ya accounts officer ii, nimepata 78 ila sijawa selected.
Nimelichukulia hili jambo very positive na next time nitapambana zaidi.
Jaman matokeo ya usaili wa somo la geografia yametoka. Idadi ya waliochaguliwa ni ndogo sana.
Jumla ya watainiwa ilikuwa 20,979
Ambao hamechaguliwa (selected) ni 948
Na ambao hawajachaguliwa (Not selected) jumla ni 20,031
Ukuzidisha kwa idadi ya mikoa yetu 26 utaona kila mkoa wameitwa...
Vijana wameenda kwenye Mahakama za Kanda wamefanya usaili, wengine wamesafiri kwa kutoa nauli zaidi ya shilingi elfu 30 kwenda tu. Kuna wengine walifikia lodge na wengine kwa ndugu. Baada ya usaili wamesubiri mtoe matokeo wajijue wanaoendelea na usaili na wale wasioendelea wajijue warudi makwao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.