matonya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wimbo wa Matonya “bado ni kiza” ufanyiwe remix wakati wake muhimu ni sasa

    Hii nyimbo kwa wanao ifahamu ilikuwa nyimbo ya maana sana. Anasema Bado ni kiza na marashi ya dunia hayasikii anajihisi yupo kuzimu anaishangaa sayali hii, iliyojawa wanasiasa, Vicheche na wasanii. Kuna jumbe nyingi sana na ata mwalimu Nyerere huko aliko lazima yupo anashangaa sana kuhusu hii...
  2. Huu uzi uwafikie wale matonya wote wanaopambania kupata vocha za bure

    Kama unajijua kuwa huwa unapandwa na pressure unapoona Sandakalawe basi huu uzi unakuhusu kwa asilimia 100. FACT - Ewe Matonya! Usipende vya bure tambua kuwa wenzako hizo vocha wamezitafuta kwa jasho na kufanya kazi. Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Shanghai nchini CHINA 🇨🇳
  3. Matonya alivunja katiba ya bongo flava, hakushitakiwa

    Masterplan ya Tanga kuitawala Bongo Flava, ilianza kwa kutambulisha silaha yao ya maangamizi "Matonya", ambaye kinyonge, alilia “Uaminifu” akimshirikisha Bwana Misosi. Jamhuri yote ya Bongo Flava ilisaluti talanta ya Matonya. Halafu akapotea masikioni mwa watu. Tanga ikachekwa kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…