Mazishi ya shoga wa nchini Uganda David Kato ambaye alikuwa mwanaharakati wa kutetea haki za mashoga wenzake nchini humo, yalikumbwa na balaa baada ya mchungaji kuwaambia waombelezaji wa msiba kuwa ushoga ni dhambi na wanaume waache kujigeuza wanawake.
Hasira zilitanda miongoni mwa mashoga na...