matukio watu kutekwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    Tumuombee sana Mzee Butiku wa taasisi ya Mwalimu Nyerere

    Juzi kaitisha press conference kuelezea hali ya usalama inavyoendelea nchini baada ya mauaji ya Mzee MeD kiongozi wa CHADEMA. Mimi kwangu kule nakuita kujilipua na uthubutu wa aina yake katikati ya mazingira tuliyo nayo sasa... Maana kusema KWELI na kwa UWAZI kwasasa ni kujitafutia majanga...
  2. EEM M

    Nimeshangazwa na pole ya Spika Tulia kwa familia ya Mzee Ally Kibao. Je, sasa bunge litajadili hoja ya watu kupotea?

    Wasalaam Watanzania! Natumaini wote ni wazima wa afya kabisa na tunaendelea na kujilinda. Kwanza kabisa naomba ku-declare interest, Mimi sio Mwanachama wa chama chochote cha siasa na wala sijawahi kugombea nafasi yoyote ile katika chama chochote cha siasa bali ni muumini wa HAKI na Viongozi...
  3. T

    Kifo cha Ally Mohamed Kibao na maelekezo ya Rais ingawaje yamechelewa yasaidie kuokoa wote waliotekwa

    Hiki kifo cha Ally Kibao kimetokea ni kwa vile Rais hakupewa taarifa sahihi kuhusu utekaji na mauaji. Kwa hali tuliyofikia ya watu wanateka hadharani na kuua eti wakisema "tumekuja kuchukua mtu wetu" haikubaliki na hii inaashiria kuwa ndani ya CCM na Serikali iko shida kubwa. Kisa cha...
  4. hermanthegreat

    Kwa aina ya raia waliopo Tanzania hata ikitokea wote wametekwa na kuuliwa hakuna atakayejitokeza hadharani kukemea

    Ukiwa mgeni Tanzania unaweza ukahisi nchi inakaliwa na wagonjwa au watu walioathiriwa sana na utumwa. Vivi hivyo kwenye kesi nyingi za utekaji , watanzania wanaamini Mungu atawalipa watekaji , wanaamini sana kwenye karma hawajifunzi,? Wazungu waliwatesa babu zetu na kuwauwa lakini kitu gani...
  5. Glenn

    Rais Samia: Nia yako njema ya uchunguzi mauaji ya kibao lakini ninashauri iundwe tume huru kuchunguza na sio Polisi

    Nchi imejawa na simanzi kwa mauaji ya kikatili. Kitendi kiovu kilichopindukia mauaji haya ni muendekezo wa vitendo vya kikatili, utekaji na kupotezana. Imesimuliwa kuwa mzee Kibao alitekwa hivi karibuni ajishushwa ndani ya basi na watu wenye silaha wakijitambulisha ni askari polisi tena wakiwa...
  6. Mwande na Mndewa

    Tulimsingizia na kumhukumu Hayati Magufuli juu ya utekaji, Je leo tutamsingizia nani? Magufuli hayupo

    Msaidizi wa Mwenyekiti Mbowe,alivyopotea Tulimsingizia Magufuli kamteka eti kwa madai msaidizi wa Mbowe alikuwa anapinga PhD ya Magufuli, Leo kapotea Msaidizi wa katibu Mkuu Mnyika,Je tutamsingizia nani wakati Magufuli hayupo!? Soma Pia: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio...
  7. Determinantor

    TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

    Anaandika Boniyai kutoka Account yake ya X ====== Ali Mohamed Kibao Ameuawa Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa na Msaidizi wa Katibu Mkuu umekutwa hospitali ya Mkoa wa Kinondoni,Mwananyamala katika chumba cha kuhifadhia maiti mwili wake ukiwa UMEHARIBIWA VIBAYA SANA. Mwili wa ALI...
  8. Vincenzo Jr

    Kwako mkuu wa Nchi, Haya matukio na Mauaji yanayoendelea nchini

    Haya matukio na Mauaji yanayoendelea nchini tena kwa kasi kubwa na hadharani kabisa na umekaa kimya sio sawa! Nchi yangu alafu niishi kuhofia uhai wangu kisa maoni yangu au siasa!?! Shame on you for this! Leading people on fear always backfires! 😏😡😡 Credit by T Soma Pia: Napinga Kauli ya Rais...
  9. figganigga

    Special Thread: Taarifa za Watu waliopotea au kuchukuliwa na “Watu Wasiojulikana”

    Salaam Wakuu, Nimeanzisha uzi huu ili tushikamane kama Watanzania kutafuta au kutoa taarifa ya watu waliopote. Kumeibuka wimbi la Watu wa kupotea katika mazingira ya kutatanisha. Rais ndo Mwenyekiti wa kwanza wa usalama, kupitia thread hii ataweza kujua ni kiasi gani watu wanapotea bila hatua...
  10. J

    Hali ya Mifumo ya Haki Jinai na Haki za Binamu nchini; Je, Mamlaka zinatekeleza Mapendekezo ya Tume ya Rais ya Haki Jinai?

    Kumekuwa na ongezeko la vitendo vya uvunjifu wa Haki za Binadamu ikiwemo matukio ya Watu kukamatwa, kushikiliwa bila taarifa, kupotea, kutekwa na kujeruhiwa na wengine kutojulikana kabisa walipo hadi sasa. Pia kumekuwa na ongezeko la matukio ya Ukatili wa Kijinsia na watoto ambapo siku za hivi...
  11. Mdude_Nyagali

    8 September, 2024 ni siku ya Maombi ya Kitaifa kuwaombea waliotekwa

    Mnano karne ya 4 kabla ya kuzaliwa Yesu Kristo kulikuwa na mamilion ya wayahudi waliochukuliwa mateka wakati wa utawala wa Babel (Iraq ya sasa) chini ya mfalme Nebukadreza. Wayahudi hao walikuwa wametapakaa nchi zote za mashariki ya kati wakitumikishwa kazi mbalimbali. Hata baada ya ufalme wa...
  12. Gemini AI

    Mzee wa Upako: Inawezekanaje kijana kuandika "Siikubali CCM" anatekwa? watekwe wanaokula viapo na kuvivunja

    Mchungaji wa Kanisa la Gospel Revival Centel (GRC), Antony Lusekelo amehoji Matukio ya Watu kutekwa kutokana na kutoa maoni yao kuhusu Serikali na kueleza kuwa wanaofanya Vitendo hivyo wanatakiwa kufuata Sheria. Lusekelo maarufu 'Mzee wa Upako', amesema "Inawezekanaje leo Kijana kuandika...
  13. B

    Ni kina nani wanateka watu, nani yuko nyuma yao?

    kuna wimbi la watu kutekwa kalibu kila siku, lakini vyomba vya ulinzi na usalama ambavyo ni jeshi la polisi pamoja na selikali wako kimya, sijui sababu wahanga si wanachama wa CCM, na wote wanaotekwa ni wale wanaopingana na selikali kwa namna moja au nyingine, mfano yule kijana aliyechoma picha...
  14. mirindimo

    Polisi wanavyoongoza genge la utekaji na kuua

    Naitwa Clement Nkwabi mkazi wa Geita. Napenda kukushirikisha suala la mdogo wangu Joel Raphael Nkwabi. Tarehe 15/12/2023 majira ya saa 2 usiku alienda kuangalia mpira lakini hakurudi. Tar.16 asubuhi mke wake alipigiwa simu na namba mpya. Kupokea ilikua sauti ya mumewe akimjulisha kuwa amelazwa...
Back
Top Bottom