Watu wanne wamefariki dunia wakiwemo Wanafunzi watatu na Dereva mmoja katika ajali iliyohusisha magari mawili ikiwemo Coaster na gari la mizigo aina ya Scania.
Ajali hiyo imetokea alfajiri ya leo August 31,2024 katika eneo la Gajal Babati Mkoani Manyara ambapo Coaster ilikuwa imebeba Wanafunzi...