Nimshukuru Mungu kwa kulinda leo ππΎππΎππΎ
Leo hii saa 4 usiku nipo siti ya mwisho kabisa kwenye daladala ya kutokaea Kongowe kwenda Mbagala Rangi 3 kwenye kilima kile baada ya mto kufika Rangi 3 Ghafla naona abiria wenzangu wanakimbilia mlangoni, wengine wanatokea madirishani wengine wanaruka...