Salam!
Nimekuwa najiuliza maswali kuhusu wanachofanya viongozi wa Dini wanapoalikwa kwenye matukio makubwa ya kitaifa hasa yanayomuhusisha Mhe. Rais.
Moja ya swali ninalojiuliza ni namna viongozi hao wanavyofanya SALA/MAOMBI kwa kusoma kama wanasoma risala.
Nauliza ndio utaratibu wa serikali...