Takriban watu 18 wamefariki dunia katika majibizano ya risasi kati ya kikosi cha walinzi wa Rais wa Chad na kundi la watu waliokuwa wamejihami kwa silaha za moto.
Kundi la watu hao (bado halijatambulika) walikuwa wakirusha risasi kuelekea yalipo makazi ya Rais, Idriss Deby, jijini N’Djamena...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeshtushwa na video zinazozunguka mtandaoni zikionyesha jaribio la utekaji dhidi ya Ndugu Deogratius Tarimo, mfanyabiashara na mkazi wa Kibaha, mkoani Pwani, tukio lililotokea nje ya hoteli ya Rovvenpec Resort, Kiluvya Madukani, Wilaya ya Ubungo, Dar...
Ukiangalia kwa jicho la ndani utaona kuna mawazo kinzani juu ya hili swala la utekaji.
Serikali inasema hilo jambo halipo na watu wanajifanyisha tu maigizo ila utekaji haupo. Rejea kauli ya Rais.
Ukija bungeni spika anazuia jambo hili lisijadiliwe bungeni hata kinafiki tu ili kufunika kombe...
Wakuu Salam,
Naanzisha uzi huu maalum kwaajili ya kupata matukio yote ya kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Tunajua mambo mengi hutokea na kashkash huwa nyingi, hivyo uzi huu utatumika kama record ya matukio hayo yote, na kuja kusaidia Gen Alpha kuwa na sehemu itakayowaweza kupata matukio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.