matukio ya kushtua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Mbezi Beach kwa Zena: Mwili wa mwanaume wagundulika, inadaiwa ameuliwa kwa kuchinjwa

    Juzi tarehe 2/2/2023 Mjumbe wa Shina namba 9 Mbezi Beach B Bw. Daudi anasema alipigiwa simu akiambiwa kuna mtu ambaye amefia kokoni, ambapo alipofika eneo la tukio akakuta kichwa cha mwanaume huyo kimetenganishwa na kiwiliwili. Tukio hilo linaonekana kufanywa siku mbili au tatu kabla kutokana...
  2. Je, hauna furaha kabisa na hujui chanzo chake na kila njia unatumia haileti matumaini kwako?

    Kukosa furaha kabisa kwa muda mrefu sana bila sababu yoyote ya msingi huwa ni kiashiria cha tatizo sugu ambalo unakuwa upo nalo kwa muda mrefu sana bila kulipatia ufumbuzi. Kuna tatizo la kisaikolojia ambalo huitwa PTSD -KIWEWE CHA MATUKIO YENYE KUUMIZA, KUHUZUNISHA NA KUSHTUA SANA. Ambapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…