matukio ya kuumiza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, hauna furaha kabisa na hujui chanzo chake na kila njia unatumia haileti matumaini kwako?

    Kukosa furaha kabisa kwa muda mrefu sana bila sababu yoyote ya msingi huwa ni kiashiria cha tatizo sugu ambalo unakuwa upo nalo kwa muda mrefu sana bila kulipatia ufumbuzi. Kuna tatizo la kisaikolojia ambalo huitwa PTSD -KIWEWE CHA MATUKIO YENYE KUUMIZA, KUHUZUNISHA NA KUSHTUA SANA. Ambapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…