Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamzuilia Kulwa Bosco, anayejulikana kwa jina maarufu la Rasta, ambaye ni mfugaji mkazi wa Kijiji cha Sinyaulime, Tarafa ya Ngerengere, wilayani Morogoro, kwa tuhuma za mauaji.
Inadaiwa kuwa alimuua Hussein Nyabu (35) kwa kumchoma kisu kifuani, kitendo...