matukio ya soka tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Wenye Simba tumerudi rasmi! Tega sikio Saa 12 kamili jioni ya leo, chuma cha maana kinaingia!

    Yaani GENTAMYCINE na akina Magori pamoja na Mafia wengine akina Nkwabi na Idi tuweke Silaha zetu chini na turejee Kuipambania Simba SC yetu kwa kutumia ule ule UMAFIA wetu unaoogopeka na Washamba wa Mafurikoni halafu Isisajili vyema, isifanye vyema na isichukue Ubingwa au kufika mbali CAFCC na...
  2. T

    Sasa tuone kama Simba itakufa

    Yametimia! Sasa tuone kama SSC itakufa au haitafanya vizuri kwa kutokuwepo na Chama. Nawaambia wapenzi wenzangu wa Simba kuwa sasa tufurahi kwani hakuna tena ubabaishaji eti bila fulani timu haichezi, sasa wasubiri tuone kama SSC haitacheza wala kushinda mataji! Hongera SSC kwa operation hiyo...
  3. Mkalukungone mwamba

    Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia

    Klabu ya Yanga imemtangaza Clatous Chama kuwa mchezaji wa wao leo Jumatatu Julai 1, 2024. Chama ametangazwa kuwa mchezaji mpya Jangwa baada ya kumaliza mkataba wake na klabu ya Simba, ambayo alijiunga nayo akitokea RS Berkane Januari 2022.
  4. Frank Wanjiru

    Shabiki wa Simba aapa kujiua iwapo Chama akienda Yanga

    Shabiki wa Simba ameapa kujiua endapo mchezaji wa timu hiyo Chama atajiunga na Yanga kwa msimu 2024/2025. ==== Pia soma: Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia
  5. D

    Ligi Kuu ina pesa nyingi sana, timu ziwe 18 tuepushe presha za vilabu

    ligi kuu ina pesa nyingi sana. na possible next season pesa zitaongezeka. iko hivi, 1. Ligi kuu now ina recruitment organisations for players trials in foreign countries. 2. Kuna azam money na possible increase of fund every season. per team. 3. Kuna agency zinaongezeka. possible watu wana...
  6. Mkalukungone mwamba

    Timu ya Biashara United imeshambuliwa vibaya sana. Viongozi wao wawili hawajulikani walipo

    Biashara United Mara wamefika mkoani Tabora na kupokelewa kwa kipigo asubuhi hii wakati wanaenda kwenye pre match Meeting. Technical director Omary Madenge ameshambuliwa sana yupo kwenye hali mbaya lakini pia amenyang’anywa baadhi vitu alivyokuwa navyo. Pamoja na hayo viongozi wawili wa...
Back
Top Bottom