Mahakama ya Wilaya Sengerema, mkoani Mwanza, imemuhukumu Lucas Maselele (56), mkazi wa kijiji cha Lugata kwenda jela miaka 30 baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka mjukuu wake (13) (jina linahifadhiwa) kwa sababu za kisheria.
Hukumu hiyo imesomwa Jana Machi 13, 2025 na Hakimu Mkazi Mwandamizi...