Mimi sasa iposiku nipo na wana wakizungu tupo simanjiro tukapiga vyombo castle by then zikaisha, safari, zikaisha pombe aina ya bia zikaisha tukaanza nyagi zikaisha tukalewa sasa kwenda kulala sinakaficha funguo za gari kilichonikuta nikasahau nilipoziweka!
Asubuhi nikihangaika hadi baa...