Serikali inatumia Kodi zetu kiholela sana,
Nimetembea Mikoa mbalimbali hapa nchini Sasa humo wilayani kuna kuogopesha kwa uwepo wa magari waliyoyabatiza Kwa jina la magari mabovu (chakavu),
Lakini kiuharisia naona sio jina sahihi maana Kwa gharama za service sio kubwa kama gharama gari la...