Kuna changamoto ambayo bila kuifuchua inaweza kuzidi kuwa kubwa na kusababisha ubadhirifu, rushwa na mengine mengi yasiyofaa kwenye jamii yetu.
Uongozi wa Halmashauri ya Arusha DC imekuwa ikifanya michezo michafu kwenye utoaji wa tenda wa kukusanya ushuru wa Halmashauri pamoja na kuchezea mfumo...
Anonymous
Thread
arusha
halmashauri
harufu
harufu ya rushwa
mabayamadarakamatumizimatumizimabayamatumizimabayayamadaraka
rushwa
tenda
Hakimu akielezea namna viongozi wa CCM walivyokuwa wakimpigia sim kumshinikiza kutumia mahakama kupambana vita vyao vya kisiasa.
---
Akifafanua jambo hilo Hakimu anasema:
Mimi nikiwa Ardhi pale Manyara mwaka 2013, kilitokea na Uchaguzi wa Mbunge, kuna Mbunge alifariki kule kukawa na Uchaguzi...
Wanajamvi, bado natafakari hotuba ya Ruto ambaye ameitoa hivi punde. Ninatizama live hivyo nitaweka hapa text ya hotuba.
Hatahivyo ni hotuba ya hovyo sana na anaonekana ku panic. Ameongea kama vile maandamano hayo ni ya wahuni tu na hivyo ameazimia kutumia nguvu zote za kimamlaka alizonazo...
Mamlaka waliyo nayo wakuu wa mikoa, wilaya na Mawaziri kuamuru polisi kukamata watu au kuanzisha kesi hayapaswi kuwepo kabisa katika nchi inayoitwa ya kidemokrasia.
Huenda utaratibu huu ulifahaa wakati wa Nyerere kutokana na hali ya kisiasa na idadi ndogo ya watu wakati huo ila utaratibu huu...
Haya mambo Unaweza kuyaona ni mepesi lakini katika Ulimwengu wa Roho Siyo Ishara nzuri
Walawi na Maustaadh tuzidishe maombi kwa Mungu wa Mbinguni
Ahsanteni Sana 🐼
SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
- Luhaga Mpina: Usambazaji wa sukari haukuwa ukifanywa na...
Mabadiriko yanatakiwa kufanyika katika utendaji wa Takukuru na CAG ili kuzuia ubadhirifu na ufisadi katika miradi na fedha za uma zinazotolewa na serikali. Kama sheria ya 2007 inayoipa takukuru mamlaka ya kuzuia rushwa, ufisadi, ubadhirifu na matumizi mabaya ya fedha ya serikali.
Awali ni...
Ndugu zangu Watanzania,
Mkuu wa mkoa wa Dar Mheshimiwa Albert Chalamila Amesema ya kuwa yeye binafsi alishaacha masuala ya ubabe kabisa.
Ameyasema maneno hayo mbele ya Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika kikao chake na maafisa habari...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema bado kuna viongozi wa mikoa na wilaya wanaendeleza matumizi mabaya ya madaraka hasa eneo la ukamataji.
Rais Samia amesema hayo wakati akitoa hotuba baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa Kamati ya Haki Jinai iliyotolewa na makamu mwenyekiti wa kamati hiyo...
Habari za wakati huu,
Mimi ni mwananchi wa kawaida, raia wa Tanzania. Nipo Dar es Salaam katika eneo fulani ambalo lilikuwa shamba la marehemu mzee wangu, sasa limekuwa eneo la makazi. Ilibidi mzee apime viwanja na kuanza kuuza baadhi ya viwanja. Kuna mteja mmoja, mwanajeshi, alijenga na...
ASKARI POLISI NA DAS WAAMRIWA KUMLIPA RAIA MILIONI 10 KWA KUMUWEKA NDANI BILA KOSA.
Bashir Yakub, WAKILI.
+255 714 047 241.
Mahakama kuu Kanda ya Manyara imeamuru askari polisi(OC-CID) na DAS wa wilaya ya Babati kumlipa bwana Lawrence Sulumbu Tara kiasi cha Shilingi Milioni 10 kwa kosa na...
DIWANI KATA BAKOBA ANALAZIMISHA KUBADILISHA MATUMIZI YA FEDHA UJENZI WA SOKO LA DAGAA.
Diwani wa kata ya Bakoba Manispaa ya Bukoba Ndg, Shaban analazimisha kuhamishwa kwa fedha Tsh Mil 28 zilizotolewa na Waziri Mkuu kwa ajii ya kuanza ujenzi wa soko la dagaa kwenda kwenye ujenzi wa Zahanati...
Anonymous
Thread
diwani bakoba
diwani shabani
halmashauri ya bukoba
matumizi fedha za umma
matumizimabayayamadaraka
soko la dagaa bukoba
Kwa nyakati tofauti kumekuwa na Viongozi walionukuliwa wakisema "Nchi hii imechezewa sana, Nchi iligeuzwa Shamba la Bibi lakini wahusika hawatajwi. Wapo waliowahi kutoa kauli za Vitisho ikiwemo Unanijua Mimi ni Nani?" na wengine waliwahi kutuhumiwa kutumia Mamlaka yao kuvunja Sheria za nchi...
Matumizi Mabaya ya Madaraka ni suala mtambuka linalohusisha matumizi yasiyo sahihi ya mamlaka aliyopewa mtu, au kundi fulani hasa katika nafasi ya utawala au uongozi.
Matumizi Mabaya ya Madakaraka yanaweza kuonekana katika maamuzi yanayokiuka Sheria, Kanuni au miongozo iliyopo, matumizi mabaya...
Nauliza Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo wanatoa wapi nguvu ya kumshikilia mfanyakazi wa kampuni kwakuwa kampuni haijalipa CSL na huyo mfanyakazi ameenda hapo ofisini kwao kwaajili ya kuomba kulipa kwa installments?
KWA NINI WATANZANIA WENGI NI MASKINI?
Sijawahi kumwona Mtanzania kwa wakati wowote ule ameondokana na umaskini, umaskini ambao sasa ni mkubwa mno na unakaribia kutudidimiza.
Binafsi nauchukulia umaskini kama kukosekana kwa mahitaji ya lazima ya kila siku kwa mwanadamu: malazi mazuri, chakula...
baada
bado
dini
kuliko
masikini
matumizimabayayamadaraka
miaka
rasilimali tanzania
tanzania
ufisadi tanzania
uhuru
umasikini tanzania
usomi
wakristo
wao
wapi
wasomi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.