Habari zenu wanajamvi,
Leo nimekuja na suala hili la matumizi sahihi ya vipaza sauti nikiwa naomba mawazo yenu na hoja zenu kuhusiana na hili.
Makanisani, Mikutanoni, kwenye sherehe mbalimbali na sehemu nyingine nyingi tumekuwa tukitumia vipaza sauti tena kwa kupokezana yaani unakuta kipaza...
Leo nikiwa mishemishe nilipata kusikia mahojiano ya msanii mone centrozone akielezea kuhusu issue ya nafasi ya upendeleo, ambapo anafunguka na kusema mwaka 2017 alipata kuandika ngoma yake na kipindi hikohiko alipata shavu la kutumbuiza katika jukwaa la fiesta chini ya marehemu Ruge Mutahaba...
Twende kazi.
Mustakabali mzima wa maisha ya mwanadamu ni kupambana na mazingira yanayomzunguka na mwisho kufa.
Ukiacha vitabu vya dini na ustahilishwaji kwa kutumia mema na mabaya ya nadharia ya dini za mapokeo na za kiasili, bado tunatafuta kujua ni nani amefanya matumizi sahihi ya akili zake...
Bayoteknolojia ni uwanja wa kisayansi unaojihusisha na matumizi ya viumbe hai na mifumo ya kibiolojia katika uzalishaji wa bidhaa na huduma mbalimbali. Teknolojia hii hutumika katika sekta nyingi ikiwemo kilimo, dawa, mazingira, na viwanda. Bayoteknolojia ni muhimu sana kwa maendeleo endelevu...
Ukiwa unaishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU) na ni mtumiaji mzuri wa dawa za kupunguza makali ya VVU, na kufikia kiwango cha kufubaza virusi vyote, kitaalam undetectable viral load, na ukawa unaendelea kutumia dawa za kufubaza virus -ARVs, basi jua huwezi kabisa kumwambukiza mshirika...
Ukiwa unaishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU) na ni mtumiaji mzuri wa dawa za kupunguza makali ya VVU, na kufikia kiwango cha kufubaza virusi vyote, kitaalam undetectable viral load, na ukawa unaendelea kutumia dawa za kufubaza virus -ARVs, basi jua huwezi kabisa kumwambukiza mshirika...
Habari wakuu
Uzoefu: Nimeishi na mwenza mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi tukiwa katika mahusiano ya muda mrefu sana kwa takribani miaka 5 (2014-2019), katika kipindi chote hiki tulishiriki vyema mambo yote hata yale ya kujamiana na sote tulifurahia, kwasasa tumeachana lakini sina...
**Makala: Matumizi Sahihi ya Mitandao ya
Utangulizi
Katika dunia ya leo, mitandao ya kijamii na vyombo vya mawasiliano vinachukua nafasi muhimu sana katika kuendesha mabadiliko ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Tanzania, kama sehemu ya jamii ya kimataifa, ina nafasi kubwa ya kutumia vyema...
Matumizi Sahihi ya Ukuaji wa Teknolojia Duniani: Njia ya Kuinua Uchumi wa Mtanzania kwa Miaka 5 hadi 10 Ijayo
Katika ulimwengu wa leo unaobadilika kwa kasi kutokana na maendeleo ya teknolojia, Tanzania ipo katika nafasi ya kipekee ya kutumia ukuaji huu kuboresha uchumi wake. Hapa chini ni...
Kuna mtu anauliza, Kama alishiiriki sex mwezi December , na mtu kwakutumia condom ambayo ilikuwa expired mwezi huohuo yaan mwezi December
Je Kama huyo MTU Ana maambukizi anaweza kuambukizwa??
Askofu Mkuu Jimbo Kuu la Mbeya Mhashamu Gervas Nyaisonga ambaye pia ni Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania akiwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi wa Polisi, Benjamin Kuzaga katika kilele cha Kongamano la Utoto Mtakatifu Jimbo la Mbeya lililofanyika Kanisa la Hija...
Nimekuwa nikishuhudia baadhi ya ndugu zetu wa nchi jirani wakitumia mofimu "kwa" katika namna ambayo siyo sahihi kwa mjibu wa Kiswahili sanifu na fasaha. Ninaelewa kuwa kuna utofauti wa kilahaja na matumizi ya Kishengi lakini napenda kukumbusha juu ya matumizi sanifu na fasaha ya mofimu hiyo...
JF nimejiunga miaka 12 ilopita.
Japo sionekani sana kwa sasa ila ni sababu ya JF yenyewe imesababisha haya. Kupitia jukwaa hili nimevuna nilicho panda kwa wanajamii wenzangu. Kupitia JF mimi nipo kama nilivyo sasa.
Napenda kusema Chochote nacho miliki,chochote nacho fanya na ajira yangu ya...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ) kitaadhimisha siku ya wanawake dunia tarehe 15/3/2023 kwa kuandaa kongamano litakalojadili masuala ya matumizi sahihi ya teknolojia, changamoto na faida zake kwa wanawake na jamii kwa ujumla...
Zawadi Mkweru, mtumishi wa Jamiiforums, leo ikiwa siku ya wanawake Duniani yupo Mbashara EATV akizungumzia masuala mbalimbali kuhusu matumizi sahihi na salama ya mitandao ya jamii.
Katika mjadala huo Zawadi anafafanua umuhimu wa Elimu ya matumizi sahihi na salama ya mitandao kuanza kutolewa kwa...
MATUMIZI YA NENO MHESHIMIWA (HONORABLE)
Yahusu kuheshimisha nyadhifa na majukumu kwa majina ya nyadhifa na kazi zao.
Waliosoma vyuo vikuu na kuchukia kozi ya rhetorical language watakuwa wamejifunza pia kipengere hiki na tungetazamia watumie jina mheshimiwa kwa usahihi na mahali pake.
Pia...
Kuna baadhi ya tabia hupaswa kufuatwa ili afya ya kinywa na meno iweze kubaki imara siku zote.
Kwa mujibu wa Kituo Cha Udhibiti na Kinga ya Magonjwa cha Marekani (CDC), haya ndiyo mambo ya msingi kuzingatia unapokuwa unatumia mswaki wako.
Unashauriwa kubadili mswaki wako kila baada ya miezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.