Unaelewa nini ukiambiwa umeze dawa kutwa mara tatu?
Maduka mengi ya dawa pamoja na hospitali zetu hutumia lugha hii kimakosa pasipo kuwaelewesha vizuri wagonjwa. Kwa kiasi kikubwa, huwafanya wagonjwa wasitumie vizuri dawa wanazopewa.
Siku moja ina saa 24, kwa kuzingatia mgawanyiko sawa wa...