Siku hizi Kuna tool ya kivivu na ya bure inaitwa AI, inakurahisishia vitu vingi ikiwemo kizungu. Umezuka mjadala mkubwa sana msanii au socialist mmoja bongo ambaye alikuwa mke wa Msemaji wa club moja ya Tanzania ambayo imejaa masupastaa au galacticos, aliyeandika bonge la broken unnecessarily...